Akiweza kutenganisha uanaharakati wake na uenyekiti wake itakuwa vizuri zaidi. Wakati wa TL ilikuwa vigumu kutenganisha majukumu yake kama mwanaharakati na Mwenyekiti; na TLS ilianza kuonekana kama tawi la chama. Na kwa vile huyu ni mtoto wa rais, pengine hatapitia misukosuko mingi hasa akisimama katika kweli na kuacha kupayuka hovyo hovyo na kutukana kama yule mwingine. Mungu na Amsaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wagombea wengine wa nafasi ya urais wa TLS walikuwa ni Godwin Mwapongo aliyepata kura 12 na Godfrey Wasonga, aliyepata kura sita.
Fatma ni nani?
Fatma Karume amezaliwa Juni 15, 1969, visiwani Zanzibar,
Ni Mtoto wa rais wa sita wa Zanzibar, Amani Abeid Karume
Ni mjukuu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume.
Ni mwanasheria katika kampuni ya uwakili ya IMMA Advocates
Ni mwanzilishi wa kampuni ya uwakili ya Karume and Co Advocates 2004.