Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

VIZA
Viza ni cheti au muhuri maalumu unaowekwa
(katika hati ya kusafiria ya mwombaji) na mamlaka ya uhamiaji ya nchi husika ambayo mwombaji anataka kutembelea,
alama hii ina maanisha mwombaji amepewa ruhusa ya kuingia nchi husika kwa muda maalumu.
 
Ushamba mzigo sana akimpata nitag
 
Viza za muda
Kuna aina mbali mbali za viza za muda zinazotolewa na ubalozi wa Marekani. Aina hizi za viza zinatambulika na sheria ya Uhamiaji ya Marekani(Immigration Law)na inaenda sambamba na dhumuni la kusafiri mwombaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…