Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
*ROAD SAFETY ALERT*

[emoji830]Mbagala...Mto Mzinga umefurika mnashauriwa kupitia kwa MANJI

[emoji830]TAZARA Hakupitiki tafuteni mbadala kulingana na unapotoka na kuelekea

[emoji830]MKWAJUNI napo offial hapapitiki

[emoji830]JANGWANI kama kawaida ni uvuvi wa Kambale unaendelea

[emoji830]KAWE darajani pia ni kizungumkuti
 
Ujumbe Kutoka kwa Maaskofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
********************************
Shilingi elfu moja (1,000/=)* na Shilingi elfu kumi ( *10,000/=*) walikuwa *marafiki.*

Siku moja walipata ajali na wote wakafa. Walipofika kwenye lango la *paradiso*,Mungu akamruhusu sh. *1,000/=* aingie.

Sh. *10,000/=* akamuuliza Mungu, Bwana, Mimi nina thamani mara *10* kuliko huyo! Anawezaje kuingia Mimi nibaki nje?.

Kisha *Mungu* akamjibu kuwa, sh. *1,000 * na wadogo zake sh. 100/=, 200/= na 500/=* kila siku wanakuja kanisani, Lakini wewe kila siku unazurura *supermarkets, madukani, masokoni, bar, night club, migahawani na kwenye mahoteli,* kwa hiyo ondoka mbele yangu sikujui.

Tafadhali jamani. Tumsaidie sh. *10,000/=* awe anafika kanisani[emoji120].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…