Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ujue hakuna taarifa inayo lushwa/repotiwa kuzungumzia usumbufu ama adha ya usafiri wa mwendo kasi Dar! Madhara ya mvua Itazungumzwa morogoro, zanzibar na kwingne kote isipokua Dar!! Vyombo vya habari mnafail hasa ITV.
Wewe unaonekana una kamkono kepesi sana kupiga wewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio haipogo watu wanapenda sana kutoa nasaha na miongozo kwa wengine kuliko majumbani kwao. Mfano mzuri watoto wa waalimu ,wachungaji na masheikh etc wengi micharuko balaa mpaka unashangaa ina maana wazazi wao huwa hawawapi maiwaidha hawa watu
Kwanini tena ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umefanya nicheke kihandzabe...
Nipo mkuu..Kwema?
Hahahahaa!! Nikitoa 1000 kama sadaka nafsi yangu inanisuta kabisa ..Nakosa amani.Ujumbe Kutoka kwa Maaskofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
********************************
Shilingi elfu moja (1,000/=)* na Shilingi elfu kumi ( *10,000/=*) walikuwa *marafiki.*
Siku moja walipata ajali na wote wakafa. Walipofika kwenye lango la *paradiso*,Mungu akamruhusu sh. *1,000/=* aingie.
Sh. *10,000/=* akamuuliza Mungu, Bwana, Mimi nina thamani mara *10* kuliko huyo! Anawezaje kuingia Mimi nibaki nje?.
Kisha *Mungu* akamjibu kuwa, sh. *1,000 * na wadogo zake sh. 100/=, 200/= na 500/=* kila siku wanakuja kanisani, Lakini wewe kila siku unazurura *supermarkets, madukani, masokoni, bar, night club, migahawani na kwenye mahoteli,* kwa hiyo ondoka mbele yangu sikujui.
Tafadhali jamani. Tumsaidie sh. *10,000/=* awe anafika kanisani[emoji120].
Nimefurahi tu..Nimeongeza sikuKwanini tena ???
Hahaha, wewe unaongopa bwana!Nimefurahi tu..Nimeongeza siku
[emoji23][emoji23][emoji23], mama mwenye mkono mwepesi haongei mara mbili unakuwa ushapigwa na kimwiko mgongoni[emoji23][emoji23]Wewe unaonekana una kamkono kepesi sana kupiga wewe!
Yaani hako katoto kataisoma namba aiseee!
Teh teh teh, Yani wewe ndiyo wale mamaza wanokooo ambao hawachelewi kukusemelea kwa baba!
Maneno yako ndo yamenifurahisha.Hahaha, wewe unaongopa bwana!
Umecheka bila sababu sasa ???
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], mama mwenye mkono mwepesi haongei mara mbili unakuwa ushapigwa na kimwiko mgongoni[emoji23][emoji23]