Hujakosea kabisa mkuu hatuna utani,Utan,mie na wewe tumeanza utan tangu lin,lile jibu nililokupa bila kujihusisha ilikua sign uweke utan pemben ila ukaendeleza yako no way sinaga utan na kila mtu humu na wanafaham sana so mkuu uwe unajiongeza neno mnonko kwako la utan kwa wengine no way. Eti ukute mwanao anakuita mnonko utachekelea tu aiseee
hahaaa naona chief "" nimkwezi mzuri kabisa wa miti "?!!?Hali tete....Hizi mvua ni balaa....
View attachment 746253
Kwenye hali kama hii hata kama hujawahi kupanda mti siku hiyo utakwea tu.hahaaa naona chief "" nimkwezi mzuri kabisa wa miti "?!!?
kweli ..daaahh natamani ni yapime mapigo yake ya moyo aisee...hahaaKwenye hali kama hii hata kama hujawahi kupanda mti siku hiyo utakwea tu.