Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeanza kuhisi ledada ndiye JT bro. Ameamua kunikimbia kiaina. Roho inaniuma bro. Nilikuwa nimezoea kuitwa dadiii na ule upole dah. Basi tu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Lol!! Genge la wahuni na majizi limekwiba 1.5 trillions hakuna anayetaka kuzungumzia hilo ndani ya Serikali si jiwe, majaliwa, mpango wala mutoto ya dada Dotto M James sasa wamempa jukumu hilo tumbili ZWAZWA. Sijui lini ameanza kuwa msemaji wa Serikali.

Na ripoti ya CAG inasemaje mkuu [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…