Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uko wapi hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28], Socket zawekwa mbele tu, j'pili ijayo ntajaribu kufanya observation kama zawekwa pia sehemu nyingine.Unaenda church mapema mpaka mamako anaambia majirani vile umeokoka.
Kumbe unataka kukalia karibu na socket usiishiwe chaji. God is watching you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji28]Ukiwa bachelor hakuna kitu huwezi fanya, kila kitu iko na short cut... Unaamka asubuhi unawekelea chai then unatumbukiza mayai mbili ndani, yaani unapika chai uki boil mayai at the same time.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipo kwenye u chick wala u hen..[emoji23][emoji23]Uko wapi hapo?
HatariItakuwa patashika nguo kuchanika.
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Winter*Kuna kitu hunisumbua akili sana. Kama Mungu alichukua tu mbavu moja ya Adam akaumba mwanamke na wanatusumbua hivi, je Mungu angechukua mbavu kama tano hivi ingekuwaje??*[emoji1562][emoji1562]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i thought i knew english until i heard my neighbour explaining the differences btwn EMAIL & GMAIL.
1.EMAIL-are mails sent using electricity.
2.GMAIL-are mails sent using generator.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], mwanaume suruali*Lakini baadhi ya wanawake wanaakili sana,akiwa na miaka kati ya 18 hadi 24,Anafikili kuolewa na wabunge,matajili wasomi PhD, Lkn akifika miaka 28..... Unaanza kusikia mume ni mume ilimradi amevaa suruali* [emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]♂♂[emoji85][emoji87]
Aghrrrrrr, hata sijui niseme nini.We unaumiaga kwani???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Nimecheka hadi tumbo laniuma*Tofauti kati ya Mama wa kizungu na Mama wa kibongo wakati wa kuwanywesha watoto dawa;*
*Mama wa kizungu: Open you mouth baby!*
*Mama wa kibongo: Fanya aaaaaaaaanh!*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1550]♂[emoji1550]♂[emoji1550]♂[emoji1550]♂[emoji1550]♂[emoji1550]♂