Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanajishaua tu,hivi unajua kuwa muhenga wa miaka 53 august alikuwa humu anapata likes?
Akaja kujishaua hakuwahi kupita humu kabla hajaanza kumshambulia shimba??
[emoji23][emoji23]jf bhana watu wanajitekenya na kucheka wenyewe
Hahahaha wengi mno wamepita hapa na kula likes zao yakawashinda kutoa kwa wingi utadhan hela hizo wameishia kwenda kulalamika huko nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…