Kama hawawezi fanya tafiti za kimaabara waende wakazalishe mali wakikabiliana na changamoto za kilimo kama walivyosomea ili iwe darasa kwa wakulima. Vinginevyo hakuna usomi ni undezi mtupu. Wasomi wanahaha mitaani na bahasha za kaki wanasaka ajira kwenye nchi yenye kila aina ya raslimali na mitaji kila konaKuna mtu anafanya utafiti Tanzania mkuu? Umeshasoma tafiti zinazotoka Mlimani pale? Utatajirika kwa kufanya utafiti? Elimu yetu ni ya hovyo mno mkuu. Na ukiishi kijijini wewe ndo utachekwa mpaka ufe....
[emoji23][emoji23][emoji23], aisee
Duuu, mwanaidi wa kongowe, aseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kongowe Mzinga. Nilipigwa limbwata pale. Kujinasua ilikuwa kazi ngumu. Mwanaidi...
"Ukitaka kujua umuhimu wa tako kalia kichwa"
Duuu, mwanaidi wa kongowe, aseeee
Hahahaha! Anye mwanya gwona gwona la enimama, ntakubhaga na ngeta wala mumwisi, Ntali mulagusi.Oli awe oumamaga saelinga? Nangu oukola emilimu mngeta? Uli mlaghusi?
Hahahaha! Anye mwanya gwona gwona la enimama, ntakubhaga na ngeta wala mumwisi, Ntali mulagusi.
"Ukitaka kujua umuhimu wa tako kalia kichwa"