Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6.KUNA NJIA NYINGINE YOYOTE?


Tofauti ya njia nyembamba na ndogo inajengwa na mtazamo wako.
Na hapo ndio unapaswa ujue kuwa ili kubadilisha kitu ni lazima ubadilishe
mtazamo wako.
Kutoweza kuona njia mbadala
katika maisha yako inatokana na
mtazamo wako
kujifungia eneo moja la maisha.
 
7.KUNA JAMBO LINAWEZA KUFANIKIWA BILA KIKWAZO?


Hata kama haupo
sehemu ambayo ulitamani kuwa haimaanishi kuwa hautakuwa siku moja.
Kufanikiwa kunaambatana na kujitambua ambapo kutakusaidia kupambana
mpaka mwisho.
Mafanikio bila ya vikwazo vitakufanya usione thamani yake
na unaweza kuyatumia vibaya.
Ukuta uliokutenga na ndoto yako unakusaidia kufahamu ni jinsi gani utajitoa kufikia unalotamani kwa kuuvunja.
 
8.ZURI NI HILO TU?


Unaweza ukawa umekutana na mabaya wakati unatafuta mazuri fulani,
lakini
haimaanishi hayo mazuri uliyoyakosa ndio pekee yaliyopo duniani.
Maisha yana mambo mengi mazuri na
si yale tunayodhani sisi
kuwa ni mazuri na kuyaona mengine kuwa mabaya kwa kuwa ndivyo tunavyodhani
 
8.ZURI NI HILO TU?


Unaweza ukawa umekutana na mabaya wakati unatafuta mazuri fulani,
lakini
haimaanishi hayo mazuri uliyoyakosa ndio pekee yaliyopo duniani.
Maisha yana mambo mengi mazuri na
si yale tunayodhani sisi
kuwa ni mazuri na kuyaona mengine kuwa mabaya kwa kuwa ndivyo tunavyodhani
 
giphy%20(6).gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitoo ameondoka
Amemuachia majonziii
Kaenda kuishi mbali naye,kitooo ooh mamaa
Hapati usingizi,akikumbuka alivyoishi naye kitoo[emoji441] [emoji441] [emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom