carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hivi ndo ulisemaga wafanana na huyu maiko wa kushoto eeh??
Tutakusemelea unatutishia kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23]Kitoo will be back. Na siku hiyo sijui mtasemaje....
Sijambo jiranihujambo jirani...umeme ulileta shida kwangu
Chezea kufumaniwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekumbuka mbio zako za jana kumbe mwanariadha kabisa wewe
Sijakufukuza kitambo[emoji38][emoji38][emoji38]
Sijui nikufukuze
Heheh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekumbuka mbio zako za jana kumbe mwanariadha kabisa wewe
Hako ka GIF huwa kananifurahisha sanaHaya. Ngoja nikalale sasa...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 746997
Wengi hatuna moyo wa ujasiri wa kusonga mbele tunapokutana na magumuKUKATA TAMAA KATIKA MAISHA,
SI KITU
CHA KUKIFIKIRIA KWANZA PALE UNAPOKUMBANA
NA MAGUMU.
Kama jana mbio zilizopigwa hapa baada ya maza hausi mmoja kujitokeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chezea kufumaniwa[emoji23][emoji23]
asante jiraniSijambo jirani
Pole umeme ni majanga siku hizi
Nikusubiri?Hako ka GIF huwa kananifurahisha sana
Uwe na usiku mwema na ulale salama[emoji120][emoji120][emoji120]
Au ngoja twende wotee[emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkono hojaTutakusemelea unatutishia kimdabuo[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahChezea kufumaniwa[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]twende nikakubembeleze ulale bhana usije tusemelea bure hatukukujali hapa na numby
HahahKama jana mbio zilizopigwa hapa baada ya maza hausi mmoja kujitokeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]