Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hako ka GIF huwa kananifurahisha sana
Uwe na usiku mwema na ulale salama[emoji120][emoji120][emoji120]

Au ngoja twende wotee[emoji124] [emoji124]
Akina MJ walikuwa wanafundishana kucheza basketball na kucheza muziki hali kadhalika...Ila huyu MJ wa basketball anacheza muziki kama Mkoromije [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama nawe waenda kulala basi kalale salama...Na kama unakuja kwangu sema nikusubiri...
 
Huyu MJ wa basketball bhana ndo ananiacha hoi na uchezaji wake.
Ka GIF ka uchezaji mziki wa koromije basi shem darling[emoji23][emoji23][emoji23]

Naja nisubiri
 
Naona familia yenu ina shida mahali.
Yaani wote wewe na yule nduguyo mnampanga foleni mtu mmoja,kule anaitwa my huku sijui wamuita kimeo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku anaitwa best tu kurahisisha mambo....

Hahahah!!

Huyu ledada atavunja undugu wetu mimi na Mwifwa , hili swala ata wakina dada limewashinda sasa wamebaki kutazama tu....
 
Mmenijali nini sasa kila siku kunicheka tu. Baba Saksafoni naye kuchochea moto tu. Ndiyo maana nikadhani pengine kimdabuo kingewanyamazisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yaani kukujali kote huku kila siku tunakuchekesha leo unasema tunakucheka[emoji23][emoji23]
Daah!!
 
Utanikuta chumbani basi. ...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️

(Nasubiri comment ya jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Tangulia naja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom