Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu anabariki mimi nipo mzima kabisa.....

Hahah!! Sasa tatizo la yule hataki nini nichat kama hivi na wadau wangu wakati yeye anafanya hivyo, ndio maana anapotia miguu mimi nampisha

[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kwan upo gerezan jaman be free bana ndo madhumun ya kujiunga JF. Sasa utakua unakimbia mpaka lini,unabaki unamwaga nondo za maana
 
Back
Top Bottom