Ndo maana tunapoteza pesa nyingi kwa mambo ya kijingaileile tabia ya 'we jenga tu' nani atauliza...
sana..Ndo maana tunapoteza pesa nyingi kwa mambo ya kijinga
Wangeziacha tu dalaladala nazo zifanye kazi biashara ushindan bana wao wamejenga mrad mbovu watu wanahangaika na hakuna mbadalaUjinga sasa,barabara haipitiki usafiri ni shida hovyo kabisa
Umeona ee usiwasikilize hao watan wangu hawamaanishi wakisemacho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Numbisa anadondosha maneno ya busara sana
Hahah!!Umeona ee usiwasikilize hao watan wangu hawamaanishi wakisemacho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jizazi...Kimdabuo dah! Fantasy...Ulimwengu wa ndoto huishi...
[emoji23][emoji23][emoji23]Kimdabuo kiko pale pale tu hata mnisemelee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmenijali nini sasa kila siku kunicheka tu. Baba Saksafoni naye kuchochea moto tu. Ndiyo maana nikadhani pengine kimdabuo kingewanyamazisha [emoji23][emoji23][emoji23]