myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni shiiidaaChezea kufumaniwa[emoji23][emoji23]
Ninazo nyingi. Sema kwenye simu huwa zinakataa kuwekwa sijui kwa nini. Nyingi zinachekesha. Hizo za MJs zipo kwenye series...My favourite GIF ilinisababishia kupoyeza follower mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa alimaind
Haya leo ubaki bana hata akija tuchat tyuuu,mzima kabisa,umeamkaje?Heheh!!
Achana na hayo kwanza nilikua natania tu, sasa nikimbie nini [emoji23][emoji23]...
Vipi lakini upo good?
Ni kujitahidi tu utawezaWengi hatuna moyo wa ujasiri wa kusonga mbele tunapokutana na magumu
Ni kujitahidi tu utawezaWengi hatuna moyo wa ujasiri wa kusonga mbele tunapokutana na magumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkono hoja
kweli..Ni kujitahidi tu utaweza
Zipo bombaNinazo nyingi. Sema kwenye simu huwa zinakataa kuwekwa sijui kwa nini. Nyingi zinachekesha. Hizo za MJs zipo kwenye series...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudabuliwa mtadabuliwa tu hata kama ni ndotoni ala !!!
Kunijali gani kunicheka kila siku na vijembe juu?