Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama Anna Tibaijuka amesema bila nidhamu ya kuheshimu Mipango miji, mafuriko yatakuwa kitu cha kawaida Dar es Salaam. Asisitiza tatizo siyo mvua bali kuziba kwanjia yake na maji kushindwa kwenda baharini.

-Amedai alipokuwa Ardhi, alijitahidi kuokoa bonde la Msimbazi lisiendelee kujengwa lakini alishindwa kwa kukosekana dhamira ya kisiasa kulinusuru ilhali ndio njia pekee ya maji pia asikitishwa na mradi wa DART Jangwani.
 
30725342_1668074253308000_2771077259740577792_n.jpg
 
Back
Top Bottom