Welcum WolverhamptonKlabu ya Wolves inataka kutumia £20m kuwasaini kwa mkopo wachezaji Benik Afobe, 25, na Willy Boly, 27 - kutoka Bournemouth na Porto mtawalia - kufuatia kupanda ngazi katika ligi ya Premia (Telegraph)
Mvua tayari imeanza hapa, habari mkuuasubuhi imeanza na mawingu na baridi
Nimeamka salama[emoji4]am gudi ledada
umeamka salama ww?
Salaam dadake[emoji23][emoji23][emoji23]ugumu ugumu tu bhana,komaa
vizuri mkuu,,,Nimeamka salama[emoji4]
[emoji7] [emoji7] [emoji91] [emoji91]
Before you leave,Ima need my shirt back