Safi sanaTrent Alexander-Arnold, 19, amesaini kandarasi ya muda mrefu na klabu yake ya Liverpool huku akitarajia mshahara wake kuongezeka maradufu.. (Mirror)
Habari yako chiefNaona nimebaki mwenyewe tu, ngoja nikomae tu! [emoji1][emoji1][emoji1]... Uwe na siku njema!