Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hua napata hasira sana nikiona upumbavu tunaofanya wa Africa. Nakumbuka Mwalimu wangu kwenye topic ya Neo colonialism alikua anamwaga hadi chozi anaahirisha kufundisha kabisa! Wa Africa tusijifanye tunaonewa wakat ni ujinga wetu wenyewe. Eti tunakalia ku debate Maria na Yesu walikua weusi utadhan kama alikua mweusi basi zile huduma mbovu za jamii zitatatuliwa
 
Aibu inaweza kukuonyesha jinsi ulivyo kuliko jinsi unavyotenda mambo. Hakuna lengo lolote lililopo hapo. Kama hisia zingine zilivyo, Aibu inaweza kuishi muda mrefu ndani ya mtu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mwalimu ana yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…