Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tenzi za rohoni...27
Kitabu cha sifa.. huu wimbo upo no.ngapi?
Kuna Nyimbo za Kristo

Kuna Nyimbo za Kuabudu

Kuna Tenzi za Rohoni (version mbalimbali)

Kuna Kitabu cha Sifa

Kuna....

Yawezekana namba zikatofautiana japo wimbo ni ule ule...

Tenzi za Rohoni version ya mtandaoni inasema huo wimbo uko namba 27.
 
KIKOSI cha Yanga kimesonga mbele hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuindoa Wolaitta Dicha kwa jumla ya mabao 2-1, ikiwa ni baada ya kushinda nyumbani 2-0 na kufungwa ugenini 1-0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…