myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:27
Ni mimi ndiyo nimeuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen
Aliyeleta huu upako leo akachukue soda kwa mangi nitalipa[emoji23][emoji23]
Bai bai Felisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekunywa dawa basi usingiz umekaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 749405
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi leo nimelipizaAfadhali umemfukuza kiaina. Kuna siku alitutimua mi na Yego kinyama sana !!!
Wajengezi....Kwema kakake,habari ya majukumu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi leo sichafukwi hata iweje. Tena kwa vile Mwakaleli hayupo, "dhambi" za humu leo zitanisikia kwenye Tiviiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalaleee[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikafukuzane na fisi wa poti ndoton
Bonge la mtoko...
Akanunue soda nitamlipaLedada huyo
Nachukue soda kwa mangi nalipa kwa tigo pesa[emoji23][emoji23][emoji23]Ni mimi ndiyo nimeuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]