Wajengezi ni wanawake walioolewa ukoo mmoja ama familia mojaWajengezi....
Hata nimesahau ilikuwa na maana gani...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hapa yaani fulu magegoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi leo nimelipiza
Jaribu. Utaaibika !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nitesti zali
Leo yaani unanifurahisha mpaka basi.
Asante shemejiNachukue soda kwa mangi nalipa kwa tigo pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ufafanuzi bora kabisa !!! [emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Wajengezi ni wanawake walioolewa ukoo mmoja ama familia moja
Kwa mf.kama mimi na kitoo kwa cole na wewe
Namshukuru Mungu, mihangaiko imekwenda salama kabisa.mimi niko kamili mkuu,
habari za miangaiko ya hapa na pale