carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwema kakake,habari ya majukumuDada kwema?
Kwema kakake,habari ya majukumuDada kwema?
Nimekuelewa.Kuna Nyimbo za Kristo
Kuna Nyimbo za Kuabudu
Kuna Tenzi za Rohoni (version mbalimbali)
Kuna Kitabu cha Sifa
Kuna....
Yawezekana namba zikatofautiana japo wimbo ni ule ule...
Tenzi za Rohoni version ya mtandaoni inasema huo wimbo uko namba 27. View attachment 749403
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila huo moto utakaokuwakia sasa...Sipati picha !!!
PoleeAsante mamaa[emoji23][emoji23][emoji23]sikuelewa
Afadhali umemfukuza kiaina. Kuna siku alitutimua mi na Yego kinyama sana !!![emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 749405
Mimi leo sichafukwi hata iweje. Tena kwa vile Mwakaleli hayupo, "dhambi" za humu leo zitanisikia kwenye Tiviiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu ndani kunapendeza na huu upako,ila sasa hivi mtachafua hali ya hewa na maneno yenu yale[emoji23][emoji23]
Likely Kikwere [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hii ni lugha gani?
Unachanganya kichwa changu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikafukuzane na fisi wa poti ndotonHumu ndani kunapendeza na huu upako,ila sasa hivi mtachafua hali ya hewa na maneno yenu yale[emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].Posti kama hizi hazimdhuru mtu yeyote..ndizo tunataka.
Lakini zenye uchochezi au ubaguzi tuzikemee
mimi niko kamili mkuu,Njema kabisa. Hofu kwako
Ledada huyoAmen
Aliyeleta huu upako leo akachukue soda kwa mangi nitalipa[emoji23][emoji23]