Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanapata faida gani kudhalilisha watu kiasi hiki?
Siasa uchwara...

Halafu anayedhalilishwa ni mtu mmoja poa sana siyo kama hii mianasiasa na mianaharakati ya kisasa iliyojaa matusi tu bila hoja. Jamaa ni mwanasiasa aliyekomaa na mstaarabu sana basi. Hakukosea aliyesema siasa mchezo mchafu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…