Historia fupi ya wiz kidayo.
Anaitwa Ibrahim balogun ayo,
Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 12,
Katika studio ya msanii mwenzake na banky W,
Kwao wapo wengi katika familia yao.
Akiwa mdogo alipenda muziki hasa nyakati za jioni alipenda kufanya kazi zake za nyumbani mapema na kupenda kwenda maeneo ya studio kuona watu wanavyo rekodi nyimbo, mara kwa mara amekuwa akifukuzwa kutokana na kukaa mlangoni au kuchungulia dirishani kama ilivyo desturi ya watoto wa uswahilini au washamba,
Akifikia umri wa miaka 12 tu... Akapata bahati ya kurekodi nyimbo lakini kwa mfumo wa kutomalizika ( demo )
Nyimbo yake ya kwanza inaitwa " holla at your body "
Ojuelegba ni mji ambao amezaliwa na kukulia,
Pia nyimbo ya ojuelegba imepata tuzo kwa ubora wa mashairi yake,
Nyimbo yeyote ya wiz kid ni kali kwa sababu amepata team ya maproducer wanao msaidia kutengeneza beats kali wanaitwa LEGENDARY BEATZ
legendary beatz ni kundi la maproducer wapatao wanne ambao wana muweka wiz kid kwenye anga la muziki wa kimataifa kulingana na ubora wa biti zao.