Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muziki ni kipaji cha kuimba au kutumia ala za muziki mbali mbali.

Muziki wa bongo fleva nchini Tanzania ina wasanii wazuri lakini wengi wao hawawezi kutunga nyimbo,

* kuimba

* kutunga nyimbo

* kutumia vyema vyombo vya muziki

* kuongoza video.

Hivi ni vipaji tofauti lakini vyote hufanyika katika muziki,
Wewe uko upande gani?

Ulishatoa wimbo wo wote?
 
Back
Top Bottom