goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Prodyuza / msanii / Mwenye lebo ya THE INDUSTRY nahreel ambaye anatengeneza biti mara nyingi huwa ana mix sweet reggae kama ukisikiliza kwa makini lakini vile vile biti zake huwa ana kopi na kupaste kwa msanii wa nigeria, patoranking
Patoranking anaimba muziki ambayo biti zake ni miondoko ya sweet reggae.
Patoranking anaimba muziki ambayo biti zake ni miondoko ya sweet reggae.