Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maelezo ya wanafunzi wenu. Akiandika kidogo mnasema more explanation please. Akiandika kidogo too much info. Wanafunzi mpaka tunachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuridhika na nini mkuu?
Wewe uko upande gani?Muziki ni kipaji cha kuimba au kutumia ala za muziki mbali mbali.
Muziki wa bongo fleva nchini Tanzania ina wasanii wazuri lakini wengi wao hawawezi kutunga nyimbo,
* kuimba
* kutunga nyimbo
* kutumia vyema vyombo vya muziki
* kuongoza video.
Hivi ni vipaji tofauti lakini vyote hufanyika katika muziki,
Oooh! Nilikuwa nishahama.Maelezo ya wanafunzi wenu. Akiandika kidogo mnasema more explanation please. Akiandika kidogo too much info. Wanafunzi mpaka tunachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata nikufanye nini kwakweliShem, usisahau kuleta mrejesho.
Angalizo: Msisilapu mkiwa na nguo. Screenshot haitasikika vizuri [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Umetoa maelezo mengine ambayo hukuulizwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nakiexpleinia wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Umetoa maelezo mengine ambayo hukuulizwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona huyu[emoji23][emoji23][emoji23]Oooh! Nilikuwa nishahama.
Hiki kichwa hiki acha tu[emoji23][emoji23]Ona huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu tunaupako humu leo unataka kuharibu siku
Bangi si nzuri kwa afya yako[emoji23][emoji23]Hiki kichwa hiki acha tu[emoji23][emoji23]
Hahahaha!Bangi si nzuri kwa afya yako[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hapo najiona mimi
Hahahhahhha! Sio kwa mnuno huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hapo najiona mimi
Ni kweli kabisa kama mimi huwa nanuna hatari basi tu wananivumiliaga lol!
Kavuta mdomo [emoji23][emoji23][emoji23]dah!Hahahhahhha! Sio kwa mnuno huo
Hahahhahhha! Sio kwa mnuno huo
[emoji16][emoji16][emoji28], bahati mbaya umchokonoe kidogo sasa, maneno ya hapo hatari.Kavuta mdomo [emoji23][emoji23][emoji23]dah!
BAK kajua kunichekesha kwakweli
Yaani nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeee! Dada nawe wanuna hivyo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hapo najiona mimi
Ni kweli kabisa kama mimi huwa nanuna hatari basi tu wananivumiliaga lol!