Mkuu heshima kwako mkuuHeshima yako boss
21:1119:37
Unajua hizo experience zao znakuwa mizinguo sana
Hahahahaha hakunawagumu wapo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@ho chi Minh alisombwa na mafuliko akatumia mapulizo kujiokoa
Tuwe na weekend njema kabisaMungu atupe afya na uzima
Hahahaha shiro bhnaHamna kakitu kasmart [emoji1]
Gr8habari wana bodi""walipa kodi wenzangu"""
salama mkuu,, za kwakoHabari za usiku wapendwa wa Mungu?
Hivi kweli Uzi unakaribia mwaka heeKwema mkuu za miaka, tunajiandaa kwa Birthday ya Uzi wetu pendwa. Hivyo Memba wote tulioanza nao wanapaswa waanze kujikusanya hapa kwa sherehe itakayofanyika Mlimani city kwa wakazi wa Dar na maeneo ya jirani
Hahah mkuu usikatae,,, wapo aiseeHahahahaha hakuna
Acha kabisaZama hizo mkuu[emoji1] kikosi kazi cha hatari hicho
okay..Chief
Baki njia kuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye misaSijahama. Tatizo chama hakina viongozi imara.