Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mkoromije alipotinga Ulaya....
View attachment 751481
[emoji106]Tezi hiyo inaitwa tezi ya Skene kwa lugha ya kitaalamu, ndani yake huwa na majimaji meupe.
Ufafanuzi huu utakuwa umewapa jibu kwa wale ambao huniuliza mara kwa mara kuhusiana na jambo hili.
Kwa upande wa wanaume, kufika kwao kileleni huambatana na kupata hisia nzuri za kipekee na kutoa majimaji mazito ambayo yana mbegu za kiume.
naaam kwema ..mkuu"" hofu kwako""[emoji23][emoji23][emoji23], kwema lakini?
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji28], unapotea wewe
Hahahahaaa! PoleeYou got me. Yaani nimesoma kwa uangalifu mbaya. Itabidi uufidie huu muda nilopoteza aisee....
sasa siwakimbie nchi tu ""Balaa lote hilo lanini" kama hela hawana"""kwani hawajui alichokifnya kaka yao lemutuzHakuwa kama wale vijana kutoka Sudan ya Kusini? Walipewa jina la “Lost Boys”, walipotinga US wakawachangamkia mababe wa huko. Sasa hivi Child Support zinawalamba vibaya! Na mababe wao walishawakimbia! [emoji1][emoji1]
Yeye anakula nami nakula, tunakulana.
[emoji23][emoji23][emoji23], nimelipenda pia.Leo!!!!
Numbisa kaleta somo.....zuuurii
Poa kabisa. Kwema?Aisee, mambo yanakuwa mambo! Nipo bana, niaje?
Kwema kabisa.naaam kwema ..mkuu"" hofu kwako""
Safi sana..[emoji23][emoji23][emoji23], nimelipenda pia.
Ijumaa, trh 20/04/2018.Hivi leo ni siku gani?