[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaaa, si kwa povu lile!!!!!!
Shikamoo ni salaam!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wahenga siku hizi tunashida kidogo tukisalimiwa hatuitikii kwa madai tunazeeshwa[emoji58]
tu me manques[emoji4] View attachment 751912
Mkuu unapatikana mara chache, tunamiss likes zako
"Maisha ni kitendawili, jaribu kufikiri, japo machungu kama pilipili"- DORO - TMK Wanaume FamilyMaisha ni safari bro. Hakuna kukata tamaa...
Nirajitahidi nitokee mara nyingi kidogo.Mkuu unapatikana mara chache, tunamiss likes zako
Naendelea vizuri,asante
Wakataji walikuwa serious jana[emoji17][emoji17]Vipi Lindo?