Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usikimbilie
kuwa katika uhusiano na mtu kwa kuwa, mazingira au
nafasi imetokea tu.
Tafuta mwenza ambaye atakuhimiza kukua,
asiyeng'ang'ania ufanye
anachopenda yeye kila wakati,
atakayekuruhusu uchangamane na watu wengine, na atakayekuamini.
 
3.KUWAPOTEZEA WANAOKUPENDA

Unajua
kuna kipindi unakuwa na watu
wanakuonyesha upendo halafu wewe unashindwa kuwaonyesha shukrani.
Hii ni sawa na
kujiandalia bomu ambalo litakuja
kukulipukia siku ile watakapoondoka kabisa machoni pako.
Hili somo la leo nalielewa sana.
Endelea mwalimu[emoji120][emoji120]
 
Doooh!!wabongo sisi[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa.
Tushakosa ubuyu mwingine jamani[emoji23][emoji23][emoji23]uaikute shiwaladu wanamlaumu israeli[emoji23][emoji23]

Ila dunia ni mapito kwakweli,apumzike salama huko aliko[emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa izirail katupotezea ubuyu yaan bint angesakamwa wiki nzima hasa page za udaku insta zingemchamba balaa afu saiv full kuhuzunika wananishangaza mno

Yeye katangulia sisi tutafuatia, i wish niishi mpaka uzeen kama bibi zangu na babu zangu daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…