Hahahahaha!! Kama vipi shindaneni kukatiana..Yaani[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu.
Aliyenikatia jana namuona alivyonikosesha ubuyu mimi,halafu na vile hana adabu kaukata hadi mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaaiiii.
Mzima lakin?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli tena, sijui tu ana khali gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mabao ya kimdabuoIlikuwa inazungumzia nini hiyo topic?
Naona jirani na dadii walielewa kuliko somo la konokono
Sijui salaam sijui heshima woiii [emoji23][emoji124]Shikamoo ni salaam!!!?
[emoji120] [emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 751982
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akipata ubuyu mwingine atasahau alioupoteza wapenda ubuyu tuna kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ipo bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], huwa wanakosa amani kabisa.. Vipi Carba AMANI ipo?