Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kisayansi kiungo cha mwisho kufa NADHANI ni ubongo. Moyo hupata amri ya kufanya kazi kutoka kwenye ubongo....Nilipochunguza kwa kusoma vitabu vya kisayansi
nikagundua kuwa Moyo ndiyo kiungo cha kwanza kuishi
na cha mwisho kufa
kwa binadamu,
ndio maana kimepewa nafasi hiyo.
Kutokana na kiungo hiki kubeba matukio mengi muhimu katika maisha yetu ni vyema tukakitunza.
WordMie kwa upande wangu, naona cha muhimu ni kukufariji tu kama umeondokewa na mtu wako wa karibu (ndugu/rafiki)..kwa maneno yenye faraja na kukutia moyo..Kuhusu mambo ya pesa atakayeguswa kukupatia atakufuata faragha..sio sheria.
Endapo atakuwa kafariki member mwenzetu,,tutahuzunika kumkosa, pia tutamwomba tu Mungu akapate kuifariji familia yake, ndugu na jamaa...
LAKINI mambo ya pesa hapana, ukiona maji yamekufika shingoni mfuate unayeona anaweza kuwa msaada kwako..
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Salaam kakake
Una kumbukumbu nzuri. Alishawahi toa somo la matumizi ya ukwaju katika kupunguza uzito humu.Kama utajisikia kunywa uji wa ukwaju nistue nikuletee! [emoji1]
Huwezi kuwaelewa binadamu hata siku moja.[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona
Wameanza kupost sijui hana miaka 23,mara bibi harusi ni mzee kama zari.
Sijui kalalalwa na watu wengi,watu wana stress mtaani huko pa kuzitolea ni kwenye maisha ya wenzao[emoji23][emoji23]
Baada ya taarifa za kifo cha aggy,mange alisema ni mchezo unachezwa kuwatoa watu kwenye reli ya 2604,sasa sijui kimemkuta nini kafuta hiyo post yake na kuanza kusema aggy wamemtoa kafara sijui anataarifa za kifo chake,unabaki kucheka tu
Binadamu ni kiumbe mtata sanaHuwezi kuwaelewa binadamu hata siku moja.
Yaan wanahangaika mno utadhan bila kusimanga watu hawaishi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona
Wameanza kupost sijui hana miaka 23,mara bibi harusi ni mzee kama zari.
Sijui kalalalwa na watu wengi,watu wana stress mtaani huko pa kuzitolea ni kwenye maisha ya wenzao[emoji23][emoji23]
Baada ya taarifa za kifo cha aggy,mange alisema ni mchezo unachezwa kuwatoa watu kwenye reli ya 2604,sasa sijui kimemkuta nini kafuta hiyo post yake na kuanza kusema aggy wamemtoa kafara sijui anataarifa za kifo chake,unabaki kucheka tu
niceKisayansi kiungo cha mwisho kufa NADHANI ni ubongo. Moyo hupata amri ya kufanya kazi kutoka kwenye ubongo....
[emoji736][emoji736][emoji736]Binadamu ni kiumbe mtata sana
Kama kuna siasa za majitaka lazima pia kutakuwa na siasa za maji safi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hakuna siasa za maji safi mkuu....
Anahaha yule basi tuYaan wanahangaika mno utadhan bila kusimanga watu hawaishi jaman
Huyo mange 26 kwisha habar yake na maandamano uchwara watu wasioe,wasife ,wasufanye hiki kile kisa yeye aiseee tusubirie atakavyokuja na gia ya. oohoo nimeombwa sana na watu ninaowaheshimu nisiseme ya masongage kwa hio kesi closed
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Si kila
anayefanya shughuli fulani
huwa na
utaalamu nayo,
wengine wanaifanya kwa kuwa tu nafasi ilitokea ya kuifanya.
Na hautachukua muda
kumgundua mtu anayefanya kazi zake kwa utaalamu,
na yule anayebangaiza njaa tu,
kwa jinsi wanavyoenenda na tabia zao.
Selo nimekuwa mwenyeji sasa. Sijali...Naona hutaki kutoka selo wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamooo dadiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Busara tupu leo humu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mie kwa upande wangu, naona cha muhimu ni kukufariji tu kama umeondokewa na mtu wako wa karibu (ndugu/rafiki)..kwa maneno yenye faraja na kukutia moyo..Kuhusu mambo ya pesa atakayeguswa kukupatia atakufuata faragha..sio sheria.
Endapo atakuwa kafariki member mwenzetu,,tutahuzunika kumkosa, pia tutamwomba tu Mungu akapate kuifariji familia yake, ndugu na jamaa...
LAKINI mambo ya pesa hapana, ukiona maji yamekufika shingoni mfuate unayeona anaweza kuwa msaada kwako..
Toa maon yako tena gazet kabisa nifaid kusomaMai rolo modo ini akisheni [emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122]