Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.KUVAA NGUO ZA RANGI ZINAZOPINGANA


Ni vizuri,
ukawa makini wakati wa
kuchagua nguo ya rangi gani
inaendana na rangi gani
sio ilimradi umevaa tu.
Na kuna muda mwengine hata ujaribu kujua rangi yako ya mwili pia
kama inaendana na rangi ya
nguo utakayovaa.
 
8.KUVAA NGUO ZILIZOJIKUNJA


Ni vyema,
ukazinyoosha nguo zako
kuliko
kuzivaa bila kuzinyoosha ni kujishusha muonekano wako.
Ni heri kama unajua hupendi kunyoosha basi usizitupe nguo hovyo,
tafuta kitu cha kutundikia ili isijikunje kama unajua utairudia.
 
9.KUVAA NGUO ZENYE RANGI NYINGI NYINGI


Wewe utakuta mtu unavaa nguo ina rangi nane tofauti tofauti
halafu eti unategemea kupendeza.
Lazima ujaribu
kuchagua nguo zenye
mchanganyiko mdogo wa rangi na
sio rangi nyingi nyingi.
 
9.KUVAA NGUO ZENYE RANGI NYINGI NYINGI


Wewe utakuta mtu unavaa nguo ina rangi nane tofauti tofauti
halafu eti unategemea kupendeza.
Lazima ujaribu
kuchagua nguo zenye
mchanganyiko mdogo wa rangi na
sio rangi nyingi nyingi.
 
10.KUVAA WIGI LA RANGI AU MTINDO USIOENDANA NA WEWE


Si kila wigi la nywele linafaa kuvaliwa na kila mtu,
kuna mawigi mengine rangi yake haiendani na wewe.
Hata kama ndio liko katika fasheni lakini usiharibu muonekano wako
kwa kuingia kichwa kichwa matika mtindo
usiokupendeza.
 
Hapo kwenye mawigi ni tatizo, achana na rangi..kuna mtu akiona wigi kwa mwenzie limemkaa fresh anafikiri nae litamkaa vivyo hivyo,, Mweee! Waweza tokelezea kama NUNGU NUNGU..Sio kila kimfaacho mwenzio nawe kitakufaa, vichwa na umbo la uso vyatofautiana NTU na NTU.
 
 
hahahaha nime imagine picha ya nungu nungu hahaha watu mna maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…