[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena anakesha na kutishi vimdabuo hadharan mchana kweupeeee[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa
Dadii atabebishwa humu hatari atabembelezwa akalale mapemaa wakati mwenyewe kesha jizoelea kukesha siku hizi
Sema shem. Kumbe upo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Siku hizi naona kuna wenzie wawili(new id)ndo zina mlike.Atamalizia watu huko sasa likes atakuwa anazipata za nani? Miye niko huko. Yule jamaa wa mapovu naye yuko huko. Kuna vijana wawili walimuuliza uliza vitu juzi hapa nadhani nao wako huko. Na nyie mkiwa huko sasa si atakuwa anajishoot mwenyewe. Kama bado mnapata likes basi ni wazi hamko huko. Kama hamzipati basi welcome to the club...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alikuja kusema hapa eti mtoto wa kike ukiwa mchawi mchawi haipendezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]picha zinatisha
Na mgonjwa ukizidiwa kapoti kanatimua mbio. Kepesi sana ka kukimbia ....Poti hatabiriki analeta mseto na kuweka makazi eti namuuguza mgonjwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajicheka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajua 0205[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakijua sasa
Kidogo na mimi nigonge dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe ni Mwanamke gonga like hapa.
Sasa utaki kuuguzwa??Poti hatabiriki analeta mseto na kuweka makazi eti namuuguza mgonjwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajicheka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kuchizi nini
Kuna mtu alikuja kusema hapa eti mtoto wa kike ukiwa mchawi mchawi haipendezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaiiiii
Kuna mtu alikuja kusema hapa eti mtoto wa kike ukiwa mchawi mchawi haipendezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaiiiii
Ulimfanya nini tena?[emoji23][emoji23][emoji23]Jana nilijichanganya bana leo sijaziona but huko mliko kuna joto hope sipo huko
KUPANUANA na KUTIANA.Kwenye mapenzi kuna vitu vikuu viwili vya kuzingatia, navyo ni KUPANUANA na KUTIANA.
1.KUPANUANA.
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi kwamba anaweza kukupanua mawazo yako, la sivyo utakuwa unatembea na kichwa maji.
2.KUTIANA
Hili suala pia lina umuhimu wake katika safari nzima ya mapenzi. Unaweza kukaa na kukata tamaa, hivyo hakikisha una mpenzi wa KUKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa msongo wa mawazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] we wazaga tu uzwange
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app