[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]matatizo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
Hadi ka picha kabisa??
We mzee wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yego?Nakuona, nakuona dadake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiiii
Hahaa...Hivi hizo bado ziko effective kwa Malaria? Nikitokaga huku kijijini Nansio kuja huko mjini, sisikii watu kuziongelea tena; unakuwa unasikia Mseto tu! [emoji23][emoji23]
Najuaa, vilikuwa vya muda tu vileHivi unajua leo nilikuwa na upako na akili ilitawala busara??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho atakuwepo tu hahahSijui hata atarudi lini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ni kweli huwa hana shida zaidi ya kucheka tu
Chloroquine inatumika kama prophylaxis ya malaria kwa wenye sickle cell sasa hivi mseto ndo 1st line katika kutibu malaria.Hahaa...Hivi hizo bado ziko effective kwa Malaria? Nikitokaga huku kijijini Nansio kuja huko mjini, sisikii watu kuziongelea tena; unakuwa unasikia Mseto tu! [emoji23][emoji23]
Mambo yego?
Gudi asee brathee wa kitooPoa sana, niaje dadake?
Yaani niliamka na akili kubwaa,kuja humu bado nina akili zangu sema sasa ukishaingia humu akili lazima ziruke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najuaa, vilikuwa vya muda tu vile
itakuwa ulienda kanisani leo
Aki waiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaa huko hukoSasa we poti utauguzaje mgonjwa ukiwa 8000 miles away bana! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo ilibidi uende great thinkers kule pange kufaaYaani niliamka na akili kubwaa,kuja humu bado nina akili zangu sema sasa ukishaingia humu akili lazima ziruke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]