carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Me niko sawa tu,tena nimekasave kwa matumizi ya baadaeHii ni vita brathee...
Nikaondoe au mko sawa?
Sasa unataka kukimbilia wapi??[emoji23][emoji23]O205 itafika jamani. Siku hiyo nitawalilia mods wanilambe ban. Mtaona !!!
Woooiii[emoji134] [emoji134]Unategemea tuelewe huyo prophylaxis ni nini hata sisi wa ngumbaru?
Gaaiii[emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Japo anzia sasa tunapokea zawadi kama advance[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] woiii
Huyu anashida gani siku hizi?
Hata sijui, sifa mbaya sana ujue,bado hayupo na kichwani kila akikumbuka zile mil 500 za BBAHuyu anashida gani siku hizi?
J. Cole [emoji119][emoji119]
Huyu dogo anataka/anatafuta umaarufu kwa shida sana hadi anatia huruma wakati mwingine.Hata sijui, sifa mbaya sana ujue,bado hayupo na kichwani kila akikumbuka zile mil 500 za BBA
Ni mchekeshaji etiHuyu dogo anataka/anatafuta umaarufu kwa shida sana hadi anatia huruma wakati mwingine.
Kweli usupastaa bongo ni kazi
Sana Bro, jamaa anajuaJ. Cole [emoji119][emoji119]
Mtu akimsema vibaya huyu jamaa nipo radhi kurusha ngumi
Ndio kati ya vitu vinanivutia kwa jamaa humuoni ovyo kwenye mambo hasa ya kipuuzi ata radioni utamsikia akiwa na kazi maalum tuSana Bro, jamaa anajua
Napenda sana lifestyle yake, yupo cool na sio mtu wa showoff
Kazi sana aisee,anakoelekea sioHuyu dogo anataka/anatafuta umaarufu kwa shida sana hadi anatia huruma wakati mwingine.
Kweli usupastaa bongo ni kazi
Tena standup comedyNi mchekeshaji eti
Kuna wachekeshaji bongo ni vichefu chefu tupuTena standup comedy
Kabisa,baada ya hapo haumsikii tena,jamaa yupo vizuri kwa kweli kwake umaarufu sio ishu kabisaNdio kati ya vitu vinanivutia kwa jamaa humuoni ovyo kwenye mambo hasa ya kipuuzi ata radioni utamsikia akiwa na kazi maalum tu
Wachekeshaji wapo kenyaKuna wachekeshaji bongo ni vichefu chefu tupu