Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Naomba link jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hapana. Blog kweli ninayo ila haina hilo jina. Hata leo nimeshusha gazeti huko na wachangiaji kibao tu. Nilikuwa naitumia kujifunzia kuandika mambo mbalimbali hasa masuala ya sayansi, falsafa na elimu
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo topic acha kabisa.Hilo neno tu mnalitafuta halafu mnaanza kulijadili. Topiki ya reproduction wengine mpaka walikuwa wanalegea. Si mchezo ati !!!
Thubutuuu. Nitakupa nikishaifuta....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba link jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Shem una nini lakini?Thubutuuu. Nitakupa nikishaifuta....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]