Jamaniii sijui nitaipataje nikaibe makala[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana. Blog kweli ninayo ila haina hilo jina. Hata leo nimeshusha gazeti huko na wachangiaji kibao tu. Nilikuwa naitumia kujifunzia kuandika mambo mbalimbali hasa masuala ya sayansi, falsafa na elimu
Naanza kuchapisha makala katika gazeti la Mwananchi soon. Nitakushtua zikianza kutoka ukazisome huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila zitakuwa zimeandikwa na Mwandishi wetu...Shem una nini lakini?
Hutaki nami nije kujifunza kutoka kwako??
Waaaaiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba bhana
Hebu mbembeleze akupe link basi[emoji23][emoji23]Jamaniii sijui nitaipataje nikaibe makala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimezoea chakula cha jikoni tena kikiwa cha moto,nataka huko jikoni unakopika hizo makala nikajisomee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanza kuchapisha makala katika gazeti la Mwananchi soon. Nitakushtua zikianza kutoka ukazisome huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila zitakuwa zimeandikwa na Mwandishi wetu...