capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tutafika....Self inflicted wounds. Unajifanya kuchukiwa kwa mambo ya kijinga tu. myoyambendi
Komenti iliniponyoka kabla sijaimalizia. Nilikuwa namtag Myoya aka Jirani kwa sababu ni mjadala ambao tuliugusia mchana. Imeshakamilika sasa na unaweza kukwoti iliyo sahihi. Samahani...[emoji15] [emoji15]
Aha sawa....shikamoo broKomenti iliniponyoka kabla sijaimalizia. Nilikuwa namtag Myoya aka Jirani kwa sababu ni mjadala ambao tuliugusia mchana. Imeshakamilika sasa na unaweza kukwoti iliyo sahihi. Samahani...
Hatuendi popote jirani sana sana ni nyuma geuka, mbele tembea...Tutafika....
Shiro jamani. Wimbo safiii !!!
Pesa kitu kingine mzee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.
Nonkanyiso Conco ambaye ana mahusiano ya kimapenzi na bwana Zuma ambaye amemzidi umri wa miaka 52. wakati huo yuko kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa.
Wamarekani nao wanahangaika na huyo jamaa yao. Sema tu wenyewe kinachowaokoa ni kuwa na taasisi zenye nguvu jamaa anakwama !!!
Gaiiii[emoji4] [emoji4] asante budaShiro jamani. Wimbo safiii !!!
Marahabaaaaaaaaaaa !!!Aha sawa....shikamoo bro
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Marahabaaaaaaaaaaa !!!
Nilikuwa nasubiria hii salamu. Afadhali umekumbuka. ASANTE [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mnanimaliza kweli na hii lafudhi yenu.....Gaiiii[emoji4] [emoji4] asante buda
Khah! Huyu mzee anakula vitu laini kabisa, 76-24. Nyama ya ulimi mzee anajisevia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bi.Conco mwenye miaka 24 amejifungua mtoto wa Zuma katika hospitali ya binafsi iliyoko mjini Durban.
Zuma kwa sasa ana umri wa miaka 76,ana wake wanne na mwingine mmoja waliachana na mke wa sita alijiua mwaka 200 pamoja na watoto ishirini.
Conco analazimika kujiuzulu cheo chake akiwa ni afisa mawasiliano wa kampeni ya kukabaliana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa wanawake wadogo, unyanyasaji wa kijinsia na ujauzito kwa watoto wadogo