moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Majina halisi ni njia ya kupimana mkojo kwa wakosoaji, siyo vinginevyoMungu pia anatulinda mkuu, ila nawaza tu hii issue ya majina halisi
Majina halisi ni njia ya kupimana mkojo kwa wakosoaji, siyo vinginevyoMungu pia anatulinda mkuu, ila nawaza tu hii issue ya majina halisi
Pole sana mkuuNeno nakupenda limepungua thamani Sana ndan ya moyo wangu yan sinanalo hisia kabisa
Asante kiongozi sijui nifanyeje ili nilipe thamani kama zamanPole sana mkuu
Hahah!! Baada ya kutisha kumuita shem wako ikabidi nikukwepe tu sasa haikua na namna...Nipo macho mkuu. Shiro kanikatia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbona uko macho mkuu. Shemeji ana kesi ya kujibu tena nitamwita aje ajibie huku huku na hakuna kutimua mbio !!!
Jamani tunakaribia nn sasa hapo?
Hahah[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wakifanikisha zoezi tutapata tabu sanaMajina halisi ni njia ya kupimana mkojo kwa wakosoaji, siyo vinginevyo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mo salah
Kumkimbiza Salah ni sawa na kukimbiza upepo[emoji3] [emoji3] [emoji3]2. Harry Kane- Hat-trick 2
Straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane amekuwa akimfukuzia Mohamed Salah kwenye mbio za Kiatu cha Dhahabu, lakini kwa hali ilivyo kwa sasa, mbio hizo zinaonekana kuelekea kumshinda. Kwa sasa amefunga mabao 26, matano nyuma ya mpinzani wake huyo.