Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

546D351C-D01B-4994-ACE2-8FF64A8104B5.jpeg
 
Wapo baadhi ya watu hukerwa kuona mwenzake mwenye mtaji mkubwa akichukua mgawo mkubwa unaotokana na faida iliyopatikana na matokeo yake huingiwa na wazo potofu juu ya kutaka kujiongezea kipato kwa njia isiyo sahihi.
 
Uadilifu humuongoza mtu yeyote kuheshimu kazi yake na kutamani kuona akipiga hatua chanya katika kujiletea maendeleo yeye na rafiki yake. Pia, uadilifu unamfanya asafiri kwa ajili ya kununua au kuuza bidhaa bila kujali mshirika mwenza anafanya shughuli nyingine binafsi inayomwingizia kipato nje ya biashara yao.
 
Hata hivyo, biashara ya ubia imesababisha baadhi ya watu kugombana kiasi cha kusababisha wengine kulipiza visasi kwa kuuana, jambo ambalo kwa mila na desturi za Kitanzania halikubaliki.
 
Suala la kuchagua rafiki wa kushirikiana katika biashara linatakiwa kufanywa kwa umakini mkubwa na uangalifu ikibidi lihusishe watu wanaoheshimika katika jamii kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya mshirika mwenza kama kweli anafaa au la.
 
Ni vyema mnapoamua kuanzisha biashara mkaingia makubaliano ya kisheria juu ya namna ya uendeshaji wa biashara yenu, mgawanyo wa mapato kulingana na mtaji mliowekeza, menejimenti yenu itakavyokuwa na kama mtaajiri watu wa kuwasaidia katika uendeshaji wa biashara.
 
Ili kuepuka athari zinazoweza kuharibu biashara na urafiki wa washirika katika biashara ni lazima kila mmoja akachukulia kazi yake kwa hisia kuwa bila rafiki yake asingepata hicho alichonacho sasa, hivyo aheshimu kila fedha inayopatikana.
 
Saratani ya tezi dume huathiri tezi iliyo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume ambayo ipo chini ya kibofu cha mkojo na kuzunguka sehemu ya juu ya mirija inayosafirisha mkojo kwenda kwenye kibofu. Tezi hiyo ndiyo huzalisha majimaji yanayorutubisha na kusafirisha mbegu za kiume.
 
Tunaielewa nia njema ya mkuu wa mkoa. Tunatambua shauku yake kutaka kuongoza wakazi wenye afya njema, wanaojishughulisha na kazi za kujenga Taifa, lakini tunashauri kuwa elimu ya kutosha inatakiwa kutolewa kwa watu kabla ya kuanza kwa upimaji huo.
 
Tunasisitiza suala hilo la elimu baada ya kutokea mjadala mkubwa miongoni mwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam huku wengine wakidhani suala hilo ni lazima, wengine wakionekana kutoelewa kinachoendelea na kundi jingine likipinga tu.
 
Alielezea namna ugonjwa huo ulivyo na ulivyomsumbua hadi alipoamua kwenda kutibiwa Marekani, na kwa hekima baada ya kurejea nchini alitoa wito wanaume wasiogope kupima.

Kikwete alitumia muda mrefu kwenye Televisheni ya Taifa kutoa elimu kupitia hotuba yake alipofika Uwanja wa Ndege na lengo kubwa alitaka wanaume waujue ugonjwa huo, madhara yake ili waone umuhimu wa kupima na kutibu.

Elimu kama hiyo inapaswa kufanywa kupitia maeneo mbalimbali kuanzia kwenye vyombo vya habari, sehemu za kazi katika makundi tofauti na hata katika jamii yote kwa ujumla. Uzoefu wetu ni kwamba kila inapofanyika kampeni ya kupima magonjwa fulani, viongozi wetu huwa wanatoa takwimu kuonyesha jinsi ugonjwa fulani unavyoongoza kwa vifo.
 
Magonjwa tofauti hutajwa kuwa yanaongoza kwa vifo kwa kuangalia eneo fulani, kama vile saratani kuongoza kwa vifo kwa magonjwa yasiyoambukiza au saratani ya kizazi kuongoza kwa kuua kwa magonjwa ya saratini. Wataalamu wanasema magonjwa yasiyoambukiza husababishwa kwa kiasi kikubwa na mtindo wa maisha na hupendekeza watu wabadili aina ya vyakula, kufanya mazoezi na kupima afya.

Sisi tunaamini kuwa afya ni jambo muhimu sana katika jamii na tungependa kampeni za namna hii ziwe zinafanyika mara kwa mara, lakini suala la elimu linapaswa kupewa kipuambele zaidi ili wahusika wajue baada ya kupima, utaratibu gani utatumika kwa ajili ya matibabu.
 
Back
Top Bottom