Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445205256_331441.jpg
 
Kisheria unaweza kuoa binti ye yote ali mradi awe 18+

Ukiwa na hela hakuna kasoro yo yote....

[emoji115][emoji115][emoji115] Baadhi ya majibu ya wadau...

Binafsi nadhani binti wa 30+ anaweza kuoleka vizuri tu kwa njemba yenye 40. 30 kwa wanawake wengi ndiyo cut off age ya kuamua kutuliza konokoni na kuanzisha familia. Below 30 ni viandaeitini na kupata kalikotulia ni sawa nakucheza Lotto [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Aisee
 
Hata hivyo yule/ wale waliohusika kujaribu kuvuruga mawasiliano ya jamiiforums ajitokeze hadharani aeleze sababu kujaribu za kutugawanya
Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kisheria unaweza kuoa binti ye yote ali mradi awe 18+

Ukiwa na hela hakuna kasoro yo yote....

[emoji115][emoji115][emoji115] Baadhi ya majibu ya wadau...

Binafsi nadhani binti wa 30+ anaweza kuoleka vizuri tu kwa njemba yenye 40. 30 kwa wanawake wengi ndiyo cut off age ya kuamua kutuliza konokono na kuanzisha familia. Below 30 ni viandaeitini na kupata kalikotulia ni sawa nakucheza Lotto [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Eti kupata below 30 ni sawa na kucheza lotto.
Sasa hawa wa below 30 wanafaa kuolewa na nani?
 
Back
Top Bottom