Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe una akili sana, njoo uchukue $1 ya Wanzuki hapa! [emoji1][emoji1][emoji1] Hiyo, DDOS Attack kafanya nani? [emoji1][emoji1]
 
Wewe una akili sana, njoo uchukue $1 ya Wanzuki hapa! [emoji1][emoji1][emoji1] Hiyo, DDOS Attack kafanya nani? [emoji1][emoji1]
ASANTE mkuu. Hiyo $1 makopo kadhaa ya Wanzuki sikosi. DDOS Attack my foot. Wameombwa tu waizime kuanzia usiku wa kuamkia 26 na siku karibu nzima ya tukio lenyewe. Na sitashangaa kama na mkwanja wamepewa. Najua hawawezi kusema hayo hadharani lakini jinsi JF yenyewe ilivyopotea na ilivyorudi sidhani kama ni DDOS Attack...
 
Back
Top Bottom