Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kalama
77.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zuma kaona kabinti ka 24 na yeye ako na 76,kazi kwako
Exception: Ukiwa na hela hata uwe na miaka 100 waweza oa mwali wa miaka 15 haijalishi kama unavunja sheria ama la! Wanasheria watakesha wakitafuta vipengele kinzani vya sheria husika na kusaka precedence hata kama ni ya kutoka Papua New Guinea....

Pamoja na utajiri wake, mila zao pia zinamruhusu Zuma....Sawa na yule mwenzake wa Swaziland.

Jaribu ukiwa kapuku kama mimi halafu uone !!!
 
Back
Top Bottom