Siunajua Pinna alikua mbabe mitaani naona ubabe kaamua kuupeleka ulingoni sasa, na hiyo siku mpinzani wake alikimbiaBondia gani yuko soft hivi? Did he train for the fight au anakwenda tu kubahatisha?
aaah sasa kama nataka kufanya muamala wa siri inakuwaje hapo..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PM kasafiri safari ya mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshinda salama, sijui wewe kasmart?kwema msupuu,umeshinda poa ww
Jizazi. Hii lugha hii siyo ya mtu Mgumu hii. Hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku tupo mkuu,hali imetulia kabsa, tupo tunapambana,vp huko zilizomake headline siku ya leo, yale mambo vp watu wamejitokezaHabari wastani tu ndugu vp huko jiji tarajiwa wanasema nini?
heheheeh sisi faida yetu likes tu[emoji33][emoji33][emoji33]Watupe na sisi hiyo faida kama ni kweli,maana watu tumeumwa[emoji23][emoji23]