Big brathee hiyo ni noma[emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa brozoned ni hatari sana.
It seems like it is my fate....
Shiro/JT kanibrozone hivi hivi mchana kweupe. Na huko tena...Jizazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Big brathee....waiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa sanapoa carba, za mapumziko, naskia umeonekana magogoni
Siruhusiwi kupokea miamala[emoji23] [emoji23] [emoji23]aaah sasa kama nataka kufanya muamala wa siri inakuwaje hapo..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]njoo nikupe tiba basiHuu uzi unafundisha tabia mbaya! Huku kwema bhana, nipo! Mi nimekumisimo mpaka naumwa! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Binti alikuwa wa kutolea mfano, lakini siku hizi kila siku anaamka na akili za usiku! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]