[emoji467][emoji467][emoji467]Aya basi rudi
Hahahha nice bro,tunachezewa akili zetu ilikuwaNilichungulia tu nikaona hakuna mtu nikarudi ndani kuchemsha tangawizi [emoji23][emoji23][emoji23]
niko poa kabsa,,time si ndo hii shiro[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nimeshinda salama, sijui wewe kasmart?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kwani unaijua shida itakayonipeleka huko? Naamini ni tofauti kabisa na yako bro [emoji23][emoji23][emoji23]