Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tottenham inataka kuwasajili wachezaji watatu wa Ureno mwisho wa msimu huu -winga wa Sporting Lisbon Gelson Martins, 22, beki wa kulia wa Southampton Cedric Soares, 26, na kiungo wa kati wa Wolves Ruben Neves, 21. (Mirror)
 
Kuna watu kama watano hivi hapa. Mmeshakuwa kama family na kuwakosa aisee ni kazi kweli kweli. We imagine mpaka nimegoogle Numbisa bana...Halafu sasa mtu mwenyewe ni anonymous for life. Hovyoooooooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uligoogle kabisa aiseee JF idumu
 
852733733_183659.jpg
 
Kuna watu kama watano hivi hapa. Mmeshakuwa kama family na kuwakosa aisee ni kazi kweli kweli. We imagine mpaka nimegoogle Numbisa bana...Halafu sasa mtu mwenyewe ni anonymous for life. Hovyoooooooo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Real Madrid italenga kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 29, mwisho wa msimu huu kama suluhu ya muda mfupi huku wakiendelea kusaka saini ya mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 24. (Sun)
Leicester inapanga kumsajili beki wa kulia wa Porto Ricardo Pereira, 24. Mchezaji huyo wa Ureno ana kipengee cha £36m kwa yeye kuondoka katika klabu hiyo (Mirror)
 
Back
Top Bottom